Uponyaji na Ukombozi kwa Damu ya Yesu.

Friday, December 8, 2017

USIPANGE KUKO...
Share:

Sunday, November 26, 2017

MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA. 2Wafalme 4:18-37 “Hata yule mtoto alipokua, ikawa siku moja alitoka kwenda kwa baba yake kwenye wavunao. Akamwambia baba yake, Kichwa changu! Kichwa changu! Naye akamwambia mtumishi wake, Mchukue kwa mama...
Share:
KUTOKA MWENGE. MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA.Mathayo 14:22-27 “Mara akawalazimisha wanafunzi wake wapande chomboni na kutangulia mbele yake kwenda ng'ambo, wakati yeye alipokuwa akiwaaga mkutano. Naye alipokwisha kuwaaga makutano, alipanda mlimani...
Share:

Yeye yupo tayari kwa ajili yako, Je! Wewe uko tayari kwa ajili yake?

KUTOKA MWENGE. MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA.Leo ni siku yako ya kubadilishwa;Siku zote Mungu anaiangalia siku, kwa sababu yeye hayuko katika wakati wala majira, Mungu ni Mungu na matendo yake yanaelekezwa kwa siku, wewe ndio unaye tazamia wakati...
Share:

SOMO: TOBA

KUTOKA MWENGE. MCHUNGAJI ABIGAEL. Zaburi 51: 1-3 “Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu. Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu. Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima....
Share:
KUTOKA MWENGE. MCHUNGAJI HELLEN MWINGA.Marko 11:24 “ Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu. ”Chochote unacho omba ukisali, amini kuwa umepokea, unatakiwa umuombe Mungu na si mwanadamu, kuna mambo mengi tunayo...
Share:

Sunday, November 19, 2017

Chini ya jua mwanadamu akikosa furaha, anakosa changamko la moyo. Mwanadamu yeyote akipata furaha ambayo chanzo chake ni Kristo, atachangamka. Yeyote aliyekosa furaha ana chuki, ni mtu wa kuchukiwa, atahuzunishwa na mke, na mume, na watoto. Mtu mwenye furaha ya wokovu,...
Share:

SHUHUDA.

Naitwa mtumishi Rose Nkondola wa eneo la Sayuni, namshukuru Mungu kwa matendo yake makuu kwangu,  Jambo la kwanza, ninamshukuru Mungu kwa ibada ya jumapili iliyopita, ilikuwa ni ibada ya furaha ya wokovu. Baada ya neno, mchungaji aliita wagonjwa japo sikuwa naumwa popote...
Share:

Sunday, September 24, 2017

Vipo vizuizi vitano vinavyozuilia watu ulimwenguni kama

1. Kizuizi kinachohusika na uhuru wako Umezaliwa ili uweze kufurahia baraka za Mungu na pia uweze kurithi vitu vyote vilivyomo katika ulimwengu huu. Mwanadam amepungukiwa uwezo na nguvu wa kuweza kumiliki vitu vyote vilivyo katika ulimwengu huu ni lazima mwanadam akubali kulipa...
Share:

MUENDELEZO WA SOMO LILIPITA: KIZUIZI

MCHUNGAJI KIONGOZI PHILIPO JAMES GUNI Kizuizi ni uzio au ukuta unaokuzulia kuyafikia mabadiliko yako katka maendeleo yako .Wengi miongoni mwa waliookoka baraka zao zipo nje na wao wapo ndani.Wengi waliookoka hawajafanikiwa kwa kumiliki baraka zao katika wokovu.Vizuizi vinaweza...
Share:

Friday, September 22, 2017

Kuna kitu kikubwa Bwana Yesu analazimika kukifanya kwako.Anataka kukupa amani na tumaini lililopotea kulirejesha upya. Kwake wewe ni wa thamani sana,tena anakupenda na kukuheshimu.Usipuuze ujumbe huu wengi wamepokea uponyaji kwa kuamini na kuupokea ujumbe tu Comment_n...
Share:

Sunday, September 17, 2017

Haleluya watumishi wa Bwana, karibuni katika Ibada za Jumapili ya leo hapa Efatha Ministry na katika vituo vyetu vyote vya Efatha Ministry ndani na nje ya nchi. Kama uko mbali usikose kufuatilia Ibada hizi kupitia ukurasa huu wa Facebook , TRENET TV na katika Internet Kusikiliza: www.mixlr.com/efatha-ministry YouTube: https://yout...
Share:

Matukio kabla ya ibada.

Wana wa Mungu wakimsubiri na kumpokea Mchungaji kiongozi philipo James Guni. ...
Share:

Saturday, September 9, 2017

KUKUBALI.

Unahitaji kusikia Neno la Kristo linalohubiriwa na Manabii, Mitume na Watumishi wote wa Mungu, na baada kusikia kuna hatua inayofuata nayo ni KUKUBALI. 2 Nyakati 20:20 “Wakaamka asubuhi na mapema, wakaenda nje katika jangwa la Tekoa; nao walipokuwa wakitoka, Yehoshafati akasimama, akasema, Nisikieni, enyi Yuda nanyi wenyeji wa Yerusalemu; mwamini...
Share:

Sunday, September 3, 2017

Ukiwa katika kusubiria Muujiza wako lazima 1. Majaribu yaambatane nawe. Lazima uelewe wakati unasubiria muujiza wako majaribu ni lazima, usikwepe lazima ujaribiwe/upimwe je unaweza kupewa hicho ambacho unakisubiria. Ukiwa katika kujaribiwa unapaswa kufanya yafuatayo: -Kiri hicho ambacho unaamini. Ayubu 23:10 2. Lazima utapitia...
Share:

MSIMU WA KUSUBIRI. (WAITING SEASON).

MSIMU WA KUSUBIRI. (WAITING SEASON). Hauwezi kusubiri pasipo AHADIInaanza ahadi ndio panafuata kusubiriKuna msimu wa kupata na kuna msimu wa kusubiri, ukiwa katika kusubiri unahitaji1. Uwe na tumaini.2. Lazima uwe na Imani ukikosa Imani utakosa kile ambacho unasubiria, watu...
Share:

Saturday, September 2, 2017

Welcome to the 9th Annual Gathering 2017. All guests both local and international....
Share:

Thursday, August 31, 2017

SOMO: NEEMA YA BWANA YESU.

NEEMA ni ya Bwana YESU, UPENDO ni wa Mungu BABA na USHIRIKA ni wa ROHO MTAKATIFU. NEEMA ni Nini? Neema ni kitu ambacho mtu Anaweza kukipata pasipo kustahili. Tumeokolewa kwa Neema, sisi tulikuwa ni wenye dhambi na wala hatukustahili kuokolewa, lakini kwa Neema ya Bwana YESU...
Share:

NEEMA

Kazi ya Neema ni kuondoa HUZUNI na MACHUNGU, usione mtu ana HUZUNI au MACHUNGU ukajua kuwa hana UPENDO, La! Anao lakini kuna kitu kimekosekana kwake ambacho ni NEEMA; akipata NEEMA changamko linatokea katika Maisha yake. • NEEMA ikikosekana kwako maswali yanakuwa mengi...
Share:

UHALISIA.

UHALISIA Katika kuishi kwako tambua kuna watu wamepewa vipawa,karama na vipaji ,Mungu ndie kawa gawia, Sasa basi ukiwabaini unatakiwa uwa tunze,uwafundishe na kuwaongoza kwa upendo na hekima ,na wao wafurahi kuongozwa na wewe, ili uje kuvuna matunda mema baadae, sio kuwakatisha tamaa,kumbuka Mungu amekukutanisha nao kwa kusudi, unajua mara nyingine...
Share:

Sunday, August 27, 2017

SHUHUDA Naitwa Avelina Haule Namshukuru Mungu sana sana, nilikuwa nasumbuliwa na magonjwa mengi mengi kama #kisukari, #presha, na #malaria sugu ambayo kila dawa ilikuwa ikidunda tangu mpaka mwaka 1999, nilikuwa mtu wa kungangania dini kwa kipindi chote huku nikizunguka huku...
Share:

Sunday, August 20, 2017

Sunday Service.

Sunday Service.Walokole wengi wavivu kupokea,huwezi kupata mafanikio kwa njia ya kufunga na kuomba. Hautakaa ufanikiwe katika hicho ambacho ulipewa upokee kwa kuwekewa mikono na wapakwa mafuta wa Bwana isipokuwa kwa kukichochea hicho kipawa.Neema ya Mungu ni kwaajili...
Share:

USHUHUDA

Naitwa Noel Athuman Namshukuru Mungu kupitia semina ya kitume na kinabii nimetendewa mambo mengi kupitia neno la mtumishi wa Mungu aliyesimama mara ya mwisho katika semina alitutangazia kuwa wiki linalofuata baada ya wiki hile ya semina tutapokea zawadi.  Namshukuru...
Share:

Sunday, August 13, 2017

SENIOR PASTOR PHILIPO JAMES GUNI  REWARD. Reward is anything that people gives as part of identification or part of testifying on what he/she has minister.It’s to give something to someone due to what he/she has done.Philippian 3:13-14If there is a person who is giving...
Share:

Sunday Service.

MCH. KIONGOZI PHILIPO JAMES GUNI.THAWABU. Thawabu ni kitu chochote ambacho mtu anapewa kama sehemu ya utambulisho au sehemu ya uthibitisho wa huduma aliyoitoa. Ni kitu chochote apewacho mtu kutokana na kazi aliyoifanya.Filipi 3:13-14.Mtu anayetoa thawabu ni ishara ya kuonyesha-...
Share:

Friday, August 11, 2017

SOMO: USTAWI WA MWAMINI.

  MCH KIONGOZI MKOA WA MWANZA : VICTOR MALAMLA.SOMO: USTAWI WA MWAMINI.Waraka wa tatu wa Yohana 1:2 Mungu anataka kila mwamini astawi, Ustawi ni utoshelevu wa kila unachohitaji, au ni ile hali yakufanikiwa kibiashara , kiofisi, familia nk.Ustawi ni...
Share:

Sunday service

Huwezi kustawi kama sio mwaminifu katika matakatifu ya Mungu. Matakatifu ya Mungu ni yapi? ✅Muda wote uliotengwa kwaajili ya Mungu. ✅Matoleo yako kwa Mungu. ✅Ahadi zako kwa Mungu. ...
Share:

Facebook

Kuhusu Efatha

EFATHA.
EFATHA
maana yake ni Funguka [MARKO 7:34], Efatha ni huduma iliyo chini ya Mtume na Nabii JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA,Huduma ilianzishwa mwaka 1997.

Huduma ya Efatha mkoa wa Ruvuma inaongozwa na Mchungaji kiongozi PHILIPO JAMES GUNI, Katika Mkoa wa Ruvuma Huduma ya Efatha inapatikana Songea eneo la Mkuzo na Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma.
Huduma ya Efatha Ruvuma chini ya Mchungaji kiongozi PHILIPO JAMES GUNI,Tunatoa Huduma ya Uponyaji na Ukombozi kwa damu ya Yesu, Uponyaji na Ukombozi katika Magonjwa,Kipato, Kazi, Mazingira, Utasa, Ugumba, Uchumi ulioyumba, Umaskini, Ndoa, Kuachwa, Kuachika, Kukataliwa na mengine yote yaliyoshindikana, Huduma inatolewa bureee kwa damu ya YESU.
RATIBA ZETU ZA IBADA NI KAMA IFUATAVYO:
1.JUMATATU-IJUMAA –NI USHAURI NA MAOMBEZ, I Muda wote.
2.JUMAMOSI-IBADA YA MAOMBI, kuanzia saa 3:00 asubuhi-saa 6;00 mchana
3.JUMAPILI-IBADA KWA WATU WOTE, kuanzia saa 4:00 asubuhi- saa 8:00 mchana
Tunapatikana SONGEA-MKUZO, Kufika panda magari yaendayo MKUZO/MWENGEMSHINDO yanayopaki stendi kuu ya daladala Songea, shuka kituo kinachoitwa EFATHA uliza kanisa lililopo sio mbali kutoka barabarani.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Archive