Sunday Service.
Walokole wengi wavivu kupokea,huwezi kupata mafanikio kwa njia ya kufunga na kuomba. Hautakaa ufanikiwe katika hicho ambacho ulipewa upokee kwa kuwekewa mikono na wapakwa mafuta wa Bwana isipokuwa kwa kukichochea hicho kipawa.
Neema ya Mungu ni kwaajili ya watoto wa wachanga wa Imani ya Kristo,
Neema ni haki ya walokole wote. Neema naweza kufananisha na mahitaji ya kila siku ambayo mzazi ama mlezi anahusika kutoa kwa watoto wake. Hapo nyuma kipindi Israeli inatembea kutoka Misri kwenda nchi ya Ahadi kwa muda wa miaka kumi walikuwa wakila chakula kutoka mbinguni kinachoitwa Mana. (Neema kwa kipindi kile tunaweza sema kama mana). Neema ni kwaajili ya kila mtu hapa chini ya jua.

Mtumishi wa Mungu Mchungaji Kiongozi Philipo James Guni.
0 comments:
Post a Comment