
NEEMA ni ya Bwana YESU, UPENDO ni wa Mungu BABA na USHIRIKA ni wa ROHO MTAKATIFU.
NEEMA ni Nini? Neema ni kitu ambacho mtu Anaweza kukipata pasipo
kustahili. Tumeokolewa kwa Neema, sisi tulikuwa ni wenye dhambi na wala
hatukustahili kuokolewa, lakini kwa Neema ya Bwana YESU...