Uponyaji na Ukombozi kwa Damu ya Yesu.

Sunday, September 24, 2017

Vipo vizuizi vitano vinavyozuilia watu ulimwenguni kama

1. Kizuizi kinachohusika na uhuru wako Umezaliwa ili uweze kufurahia baraka za Mungu na pia uweze kurithi vitu vyote vilivyomo katika ulimwengu huu. Mwanadam amepungukiwa uwezo na nguvu wa kuweza kumiliki vitu vyote vilivyo katika ulimwengu huu ni lazima mwanadam akubali kulipa...
Share:

MUENDELEZO WA SOMO LILIPITA: KIZUIZI

MCHUNGAJI KIONGOZI PHILIPO JAMES GUNI Kizuizi ni uzio au ukuta unaokuzulia kuyafikia mabadiliko yako katka maendeleo yako .Wengi miongoni mwa waliookoka baraka zao zipo nje na wao wapo ndani.Wengi waliookoka hawajafanikiwa kwa kumiliki baraka zao katika wokovu.Vizuizi vinaweza...
Share:

Friday, September 22, 2017

Kuna kitu kikubwa Bwana Yesu analazimika kukifanya kwako.Anataka kukupa amani na tumaini lililopotea kulirejesha upya. Kwake wewe ni wa thamani sana,tena anakupenda na kukuheshimu.Usipuuze ujumbe huu wengi wamepokea uponyaji kwa kuamini na kuupokea ujumbe tu Comment_n...
Share:

Sunday, September 17, 2017

Haleluya watumishi wa Bwana, karibuni katika Ibada za Jumapili ya leo hapa Efatha Ministry na katika vituo vyetu vyote vya Efatha Ministry ndani na nje ya nchi. Kama uko mbali usikose kufuatilia Ibada hizi kupitia ukurasa huu wa Facebook , TRENET TV na katika Internet Kusikiliza: www.mixlr.com/efatha-ministry YouTube: https://yout...
Share:

Matukio kabla ya ibada.

Wana wa Mungu wakimsubiri na kumpokea Mchungaji kiongozi philipo James Guni. ...
Share:

Saturday, September 9, 2017

KUKUBALI.

Unahitaji kusikia Neno la Kristo linalohubiriwa na Manabii, Mitume na Watumishi wote wa Mungu, na baada kusikia kuna hatua inayofuata nayo ni KUKUBALI. 2 Nyakati 20:20 “Wakaamka asubuhi na mapema, wakaenda nje katika jangwa la Tekoa; nao walipokuwa wakitoka, Yehoshafati akasimama, akasema, Nisikieni, enyi Yuda nanyi wenyeji wa Yerusalemu; mwamini...
Share:

Sunday, September 3, 2017

Ukiwa katika kusubiria Muujiza wako lazima 1. Majaribu yaambatane nawe. Lazima uelewe wakati unasubiria muujiza wako majaribu ni lazima, usikwepe lazima ujaribiwe/upimwe je unaweza kupewa hicho ambacho unakisubiria. Ukiwa katika kujaribiwa unapaswa kufanya yafuatayo: -Kiri hicho ambacho unaamini. Ayubu 23:10 2. Lazima utapitia...
Share:

MSIMU WA KUSUBIRI. (WAITING SEASON).

MSIMU WA KUSUBIRI. (WAITING SEASON). Hauwezi kusubiri pasipo AHADIInaanza ahadi ndio panafuata kusubiriKuna msimu wa kupata na kuna msimu wa kusubiri, ukiwa katika kusubiri unahitaji1. Uwe na tumaini.2. Lazima uwe na Imani ukikosa Imani utakosa kile ambacho unasubiria, watu...
Share:

Saturday, September 2, 2017

Welcome to the 9th Annual Gathering 2017. All guests both local and international....
Share:

Facebook

Kuhusu Efatha

EFATHA.
EFATHA
maana yake ni Funguka [MARKO 7:34], Efatha ni huduma iliyo chini ya Mtume na Nabii JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA,Huduma ilianzishwa mwaka 1997.

Huduma ya Efatha mkoa wa Ruvuma inaongozwa na Mchungaji kiongozi PHILIPO JAMES GUNI, Katika Mkoa wa Ruvuma Huduma ya Efatha inapatikana Songea eneo la Mkuzo na Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma.
Huduma ya Efatha Ruvuma chini ya Mchungaji kiongozi PHILIPO JAMES GUNI,Tunatoa Huduma ya Uponyaji na Ukombozi kwa damu ya Yesu, Uponyaji na Ukombozi katika Magonjwa,Kipato, Kazi, Mazingira, Utasa, Ugumba, Uchumi ulioyumba, Umaskini, Ndoa, Kuachwa, Kuachika, Kukataliwa na mengine yote yaliyoshindikana, Huduma inatolewa bureee kwa damu ya YESU.
RATIBA ZETU ZA IBADA NI KAMA IFUATAVYO:
1.JUMATATU-IJUMAA –NI USHAURI NA MAOMBEZ, I Muda wote.
2.JUMAMOSI-IBADA YA MAOMBI, kuanzia saa 3:00 asubuhi-saa 6;00 mchana
3.JUMAPILI-IBADA KWA WATU WOTE, kuanzia saa 4:00 asubuhi- saa 8:00 mchana
Tunapatikana SONGEA-MKUZO, Kufika panda magari yaendayo MKUZO/MWENGEMSHINDO yanayopaki stendi kuu ya daladala Songea, shuka kituo kinachoitwa EFATHA uliza kanisa lililopo sio mbali kutoka barabarani.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Archive